Type at least 2 characters to search
No results found for ""
Courses
Lessons
↑ ↓ navigate ↵ open
See all results →
Kanuni Za Kikristo

Kanuni Za Kikristo

Search Course

Type at least 3 characters to search

Search through all lessons and sections in this course

Loading course text…
Course search is unavailable right now.

Searching...

No results found

No matches for ""

Try different keywords or check your spelling

results found

Lesson 1: Kitabu cha Mungu

16 min read

by Stephen Gibson


Malengo ya Somo

(1) Mwanafunzi ataweza kueleza:

  • Dhana ya Ufunuo wa Jumla na Ufunuo Maalum.

  • Ushahidi kwamba Biblia ni Neno la Mungu.

  • Uhamasisho wa maandiko.

  • Kwa nini uhamasisho wa maandiko unamaanisha kuwa maandiko hayana makosa.

  • Maneno iliyohamasishwa, isiyoweza kuwa na makosa, na isiyokuwa na makosa.

  • Kwa nini Biblia imekamilika na haiwezi kuongezewa habari za ziada.

  • Jinsi Biblia ilivyo chanzo kikuu na mamlaka ya mwisho ya kanuni.

  • Jinsi Biblia ilivyo muhimu katika maisha ya kila siku ya Mkristo.

  • Kauli ya kanuni za Kikristo kuhusu Biblia.

(2) Mwanafunzi ataepuka kusikiliza mamlaka yasiyofaa au kujifunza Biblia akiwa na kusudi finyu.