Type at least 2 characters to search
No results found for ""
Courses
Lessons
↑ ↓ navigate ↵ open
See all results →
Kanuni Za Kikristo

Kanuni Za Kikristo

Search Course

Type at least 3 characters to search

Search through all lessons and sections in this course

Loading course text…
Course search is unavailable right now.

Searching...

No results found

No matches for ""

Try different keywords or check your spelling

results found

Lesson 7: Kristo

17 min read

by Stephen Gibson


Malengo ya Somo

(1) Mwanafunzi ataweza kueleza:

  • Inamaanisha nini kwamba Yesu ni Masihi.

  • Kauli ya imani iliyo katika kirai “Bwana Yesu Kristo.”

  • Ushahidi na umuhimu wa ubinadamu wa Yesu.

  • Ushahidi na umuhimu wa uungu wa Yesu.

  • Utoshelevu wa kifo cha Kristo kwa ajili ya msamaha wa dhambi.

  • Umuhimu wa ufufuo kwa imani ya Kikristo.

  • Kauli ya kanuni za Kikristo kuhusu Kristo.

(2) Mwanafunzi atajifunza yale ambayo watu wa dini nyingine husema kuhusu Kristo.