Type at least 2 characters to search
No results found for ""
Courses
Lessons
↑ ↓ navigate ↵ open
See all results →
Kanuni Za Kikristo

Kanuni Za Kikristo

Search Course

Type at least 3 characters to search

Search through all lessons and sections in this course

Loading course text…
Course search is unavailable right now.

Searching...

No results found

No matches for ""

Try different keywords or check your spelling

results found

Lesson 2: Sifa za Mungu

12 min read

by Stephen Gibson


Malengo ya Somo

(1) Mwanafunzi ataweza kueleza:

  • Kwa nini dhana ya mtu kuhusu Mungu ni muhimu sana.

  • Jinsi ukweli kwamba Mungu ni Muumba unamfanya awe tofauti na vitu vingine vyote.

  • Sifa za Mungu: maana ya yeye kuwa mwenye nafsi, roho, wa milele, mwenye Utatu, mweza yote, yuko kila mahali, asiyebadilika, ajuaye yote, mtakatifu, mwenye haki, na mwenye upendo.

  • Jinsi kila sifa ya Mungu ilivyo muhimu katika uhusiano wetu naye.

  • Mtazamo wa kibiblia wa ukuu wa Mungu.

  • Kauli ya kanuni za Kikristo kuhusu Mungu.

(2) Mwanafunzi ataepuka kosa la kutoelewa umuhimu wa aina za ibada.